Lile sakata la baadhi ya nchi washirika zinazojulikana kama Ushirika wa
Walioridhia (Coalition of the willing) ukiziunganisha kaka mkubwa Kenya,
Uganda na new commer Rwanda limezidi kuendelea na sasa limechukua sura
mpya kwa Kenya kuwa wenyeji wa kikao kipya na kujadili usafishaji wa
mafuta huko Hoima Uganda na kutangaza mradi mpya wa maendeleo wa pamoja
utakao jumuisha ujengaji wa bomba la mafuta toka Hoima Uganda hadi LAMU
Kenya ukiunganisha Lamu Port Southern Sudan-Ethiopia corridor (LAPSSET)
and once again singling out tz and burundi.
Nakumbuka mh rais alisistiza umuhimu wa Tanzania kuhusishwa ktk
Infrastructure projects za EAC given our geographical advantage akigusia
reli kwamba hata mkoloni hakuiacha iweje leo jambo la kheri la Kenya
liihusu Rwanda na Uganda liiache tz na Burundi. ndio tusemeje?
akufukuzae hakuambii toka? Au akutukanaye hakuchagulii tusi?
Chanzo:Mdau JF.
No comments:
Post a Comment