MEYA WA ARUSHA, WAMILIKI WA SHULE NA WAANDISHI WAKAMATWA WAKITOA POLE KWA SHULE YA LUCKY VINCENT - ANGA ZA KIMATAIFA

Latest

Thursday, May 18, 2017

MEYA WA ARUSHA, WAMILIKI WA SHULE NA WAANDISHI WAKAMATWA WAKITOA POLE KWA SHULE YA LUCKY VINCENT

Polisi wamevamia na kuwakamata wamiliki wa shule na waandishi wa habari na meya wa jiji la Arusha kalist Lazaro,  walioenda kutoa pole kwa shule ya msingi Lucky Vincent ya jijini Arusha.

Taarifa zinasema wamiliki hao na waandishi wamepewa taarifa za kuwekwa chini ya ulinzi kwa kosa la kufanya mkusanyiko kinyume cha sheria.

Katika makundi hayo walikuwepo pia viongozi wa dini na wazazi.

No comments: