MTANZANIA AONGOZA MASHINDANO YA KUOGELEA OLIMPIKI - ANGA ZA KIMATAIFA

Latest

Friday, August 12, 2016

MTANZANIA AONGOZA MASHINDANO YA KUOGELEA OLIMPIKI

Mtanzania Hemed Hilal Jr ameshinda katika hatua ya kwanza ya mashindano ya kuogelea kwa Mita 50,kwa kuongoza katika kundi lake na kufanikiwa kuingia katika hatua ya nusu fainali.

Hemed alikuwa katika kundi namba 4 la kuogelea kwa mtindo huru(Free Style) na ametumia sekunde 24.86 kumaliza mita 50.

No comments: