WALIMU KUSAFIRI BURE KWENYE TRENI - ANGA ZA KIMATAIFA

Latest

Thursday, August 11, 2016

WALIMU KUSAFIRI BURE KWENYE TRENI

DAR ES SALAAM,
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Mh.Paul Makonda amesema walimu wataruhusiwa kusafiri bure katika treni za abiria jijini humo kwa kutumia vitambulisho walivyokuwa wakivitumia awali katika daladala,huku wanafunzi wakitoa nauli ya tsh.100 tu.

Makonda amesema hayo alipokuwa na mkurugenzi wa TRL Mhandisi Masanja Kadogosa amesema maafikiano hayo yamefikiwa baada ya mazungumzo baina ya pande mbili, huku akiongeza pia ombi la walimu kusafiri bure katika m,abasi ya mwendo kasi pia limefikishwa kwa waziri mkuu mh.Kasim Majaliwa.

Usafiri wa treni unahusisha njia mbili kuu ambazo niiliya kutoka Buguruni mpaka Ubungo Maziwa na ile ya Buguruni mpaka Pugu.

No comments: