UAMSHO WAWASHA MOTO TENA ZANZIBAR. - ANGA ZA KIMATAIFA

Latest

Friday, July 20, 2012

UAMSHO WAWASHA MOTO TENA ZANZIBAR.

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjAlELnSaqz9r1Llp_DrSfvJ2Nn9rRZ-U8Px2xSVDqT1OaD05wP5BrhtI1bYHOOJbX7NUZOIMOQHOCFkw2VTmEa_dJccSOBYfhEe6SMQKWfWu-W1fxs2SRZD2bFEJ7UVNic6cL9mJaob10/s1600/znz.jpg
Unguja-Zanzibar,

Kumeripotiwa vurugu tena mjini unguja Zanzibar baada ya kundi la Uamsho kudaiwa kuandaa swala maalum kuwaombea marehemu wa ajali ya Meli ya kuingia mtaani wakiupinga muungano na kuituhumu Serikali ya Muungano kwa kutokushiriki kikamilifu katika zoezi la uokoaji.

Mashuhuda wamesema kundi hilo liliingia mtaani na baada ya hapo askari wameingilia maandamano hayo na kuyatawanya ambapo habari kutoka katika vyanzo visivyonauhakika imedaiwa mabomu na risasi za moto zinatumika mpaka sasa.
Habari za kina na uhakika zitaendelea kukujia hapa anga za kimataifa.

No comments: