MONACO MABINGWA WAPYA LIGI YA UFARANSA-PSG OUT. - ANGA ZA KIMATAIFA

Latest

Thursday, May 18, 2017

MONACO MABINGWA WAPYA LIGI YA UFARANSA-PSG OUT.



Klabu ya Maonaco ya Ufaransa imefanikiwa kuchukua ubingwa wa nchi hiyo hapo jana baada ya kuifunga Saint-Etienne 2-0, magoli ya Mbappe dk.15 na Valere Germain.

 Kwa matokeo hayo Monaco wamefikisha pointi 92 ambazo haziwezi kufikiwa na wapinzani wao wa karibu PSG wenye pointi 86 wakiwa na mchezo mmoja tu mkononi.

No comments: