Serengeti Boys ndiyo wawakilishi pekee wa Tanzania katika michuano ya soka na watacheza Kombe la Mataifa Afrika nchini Gabon.
Ratiba unayoiona hapo juu ni ya michuano hiyo na mechi tatu za awali, hatua ya makundi za Boys hizi hapa.
Kikubwa kumbuka mechi hizo zitarushwa moja kwa moja na chaneli ya ZBC2 inayopatikana katika king’amuzi cha Azam Tv.
No comments:
Post a Comment