Kesho Serengeti Boys watacheza mchezo wao wa pili dhidi ya Angola katika mchezo wake wa pili katik michuano hiyo baada ya kutoka sare ya kutofungana na Ghana katika mchezo wake wa awali.
Angola ambayo katka mchezo wake wa awali ilitoka sare ya magoli 2-2 na Niger itashuka kesho kutafuta ushindi wake wa kwanza kama ilivyo kwa Serengeti Boys.
No comments:
Post a Comment