AFCON UNDER 17: GHANA YAFUFUKA KWA GABON, CAMEROON YABANWA. - ANGA ZA KIMATAIFA

Latest

Thursday, May 18, 2017

AFCON UNDER 17: GHANA YAFUFUKA KWA GABON, CAMEROON YABANWA.


Timu ya taifa ya vijana chini ya miaka 17 ya Ghana imefufuka leo na kuwafunga wenyeji Gabon kwa mabao 5-0, baada ya kupoteza mchezo wake wa awali.

Katika mchezo mwingine Cameroon wamebanwa na Guinea na kulazimishwa sare ya goli 1-1.

No comments: