MUGABE KUGOMBEA TENA ZIMBAMBWE - ANGA ZA KIMATAIFA

Latest

Monday, December 19, 2016

MUGABE KUGOMBEA TENA ZIMBAMBWE



President Robert Mugabe addresses Zanu-PF annual conference in Masvingo on Saturday, 17 December 2016

Mr Mugabe, ambaye ni 92, amekuwa madarakani tangu uhuru kutoka Uingereza mwaka 1980, amechaguliwa tena na chama chake kuwa mgombea wa urais mwaka 2018.

Katika mkutano wa chama hicho, Zanu-PF tawi la vijana lilileta mapendekezo kwamba Mr Mugabe atangazwe rais wa maisha.

Hata hivyo, kumekuwa na maandamano mno mwaka huu dhidi ya mtikisiko wa  kiuchumi ndani ya Zimbambwe na juu ya uongozi wa Mr. Mugabe.

No comments: