Hatimaye Simba wamelala leo uwanja wa taifa dhidi ya African Lyon bao lililofungwa dk. ya 96, na kuvuruga ndoto zake za kumaliza msimu bila kupoteza mchezo hata mmoja.
YANGA 1-0 PRISONS: Huko Mbeya bao la Dk 74, la Simon Msuva kwa mkwaju wa penalti baada ya madhambi kufanyika eneo la 18 kwa Nurdin Chona kumuagusha Chirwa, limewapa Yanga ushindi wa Ugenini.
MBAO FC 2-1 AZAM:
Azam FC pia imelala ugenini kwa magoli 2-1 dhidi ya Mbao FC na kuendeleza rekodi mbovu msimu huu.
No comments:
Post a Comment