MATOKEO EPL: CHELSEA YAFANYA KUFURU, MAN CITY YABANWA. - ANGA ZA KIMATAIFA

Latest

Sunday, November 6, 2016

MATOKEO EPL: CHELSEA YAFANYA KUFURU, MAN CITY YABANWA.

Hazard ndiye alifungua karamu ya magoli kwa goli la dk.19, kabla ya Marcos kuongeza jingine dk ya 20,Diego Costa akaifunugia Chelsea goli la 3 dk.42, Hazard akaongeza goli jingine tena  la dk.56 na kisha Pedro akafunga karamu kwa goli lake dk.65.
 Kwa ushindi huo.
Chelsea wanaongoza ligi wakiwa na pointi 25 baada ya michezo 11, wakifuatiwa na Man City wenye pointi 24 baada ya michezo 11 ambao jana walibanwa na Middlesbrough na kulazimishwa sare ya 1-1.

HAYA NDIYO MATOKEO YOTEYA TAREHE 05/11/2016  KWA UJUMLA :





 MSIMAMO WA LIGI:


No comments: