Taarifa rasmi zilizosibitishwa na kurugenzi ya Ikulu zimeripoti kifo cha aliyekuwa spika wa bunge la Jamhuri la Muungano wa Tanzania na mbunge mstaafu wa jimbo la Urambo Mh. Samwel Sitta.
Mh Samweli Sitta amefariki katika hospitali ya Technical University of Munich nchini Ujerumani.
IFUATAYO NI TAARIFA ILIYOWEKWA KATIKA TOVUTI YA IKULU:
No comments:
Post a Comment