Taarifa Kuhusu Kujiuzulu Kwa Makamu Wa Rais Tanzania - ANGA ZA KIMATAIFA

Latest

Wednesday, October 5, 2016

Taarifa Kuhusu Kujiuzulu Kwa Makamu Wa Rais Tanzania



Ofisi ya Makamu wa Rais Imekanusha taarifa inayosambaa kwenye mitandao
ya kijamii kuwa makamu wa rais bi. Sami Suluhu ameomba kujiuzulu wadhifa
wake huo, taarifa kwa vyombo vya habari imesema taarifahizo ni za
kizushi na zina lengo la kuleta taaruki.

No comments: