Watu 21 wamefariki kutokana na ugonjwa wa ajabu ambao haujafahamika chanzo wala tiba yake katika wilaya ya Pinyinyi,wilaya ya Ngorongoro mkoani Arusha.
Akitoa taarifa kwa mkuu wa mkoa wa Arusha Bw.Mrisho Gambo, afisa mtendaji wa kata ya Pinyinyi bw. James Shirima ametaja dalili za ugonjwa huo kuwa ni kuvimba tumbo, kuhara na kutapika damu.
Afisa mtendaji huyo amesema ugonjwa huo umekuwepo katika kipindi cha miaka minne na kuiomba serikali iingilie kati na kufanya utafiti juu ya ugonjwa huoili kuondoa hofu kwa wananchi.
Wednesday, October 5, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment