Timu ya Simba ya Dar es Salaam leo imeendeleza ubabe wake katika ligi kuu baada ya kuifunga Mbao FC ya Mwanza kwa goli 1-0. Goli la Simba ambao walitawala mchezo huo limefungwa na Muzamiru baada ya pasi safi ya kichwa kutoka kwa Blagnon. Read more
No comments:
Post a Comment