Wanafunzi wa Chuo cha Dar es Salaam (UDSM) leo wamegoma wakipinga mabadiliko ya kiwango chamkopohuo kwa wanafunzi wa mwaka wa kwanza. Makamu wa rais wa serikali ya wanafunzi wa chuo hicho, Shamila Mshengema amesema kuwa uamuzi huo kupinga punguzo kubwa la fedha za kujikimu kwa baadhi ya wanafunzi wa mwaka wa kwanza.Amesema awali wanafunzi wote wenye sifa walikuwa wanalipwa tsh510,000 kwa miezi miwili lakini kwa sasa wameshushiwa hadi tshs 19,000/ tu kwa miezi miwili.
Msengema amesema wameaagiza wanafunzi hao kutosaini kiasihicho kwani haiwezekani mwanafunzi kuishi kwa tshs 19,000/ kwa miezi miwili.
CHANZO: DAR24.
VISIT:DAR24.COM

No comments:
Post a Comment