SIMBA YAENDELEA KUTAKATA, MTIBWA YALALA. - ANGA ZA KIMATAIFA

Latest

Saturday, October 29, 2016

SIMBA YAENDELEA KUTAKATA, MTIBWA YALALA.

Leo October 29 2016 Simba imelipa kisasi ya kichapo cha goli 1-0 ilichofungwa May 8 2016 uwanja wa Taifa Dar es Salaam, goli likifungwa na Jamal Mnyate wakati huo akiwa Mwadui, leo Mohamed Ibrahim wa Simba amefanikisha Simba kuiadhibu Mwadui FC kwa magoli 3-0, magoli yakifungwa na Mohamed Ibrahim dakika ya 32 na 50 na kutoa pasi ya goli la Shiza Kichuya dakika ya 45.
Kwa upande mwingine timu ya Mtibwa imelala ugenini kwa magoli 3-2 mbele ya Toto Africans.

MATOKEO YA LIGI KUU.

No comments: