Basi la Safari njema lililokuwa likitokea mkoani Dodoma limegongana na roli eneo la Kimara Stop Over na yote mawili kuwaka moto ambapo inasadikika kati ya abiria 61 waliokuwepo katika basi hilo wamepona 8 tu.
Taarifa zaidi tutaendelea kukufahamisha hapa.
No comments:
Post a Comment