Mwigulu Nchemba amekumkutanisha kocha aliyejiuzulu Yanga Hans Van Pluijm na uongozi wa timu hiyo na kufamikiwa kumrudisha katika kikosi hicho.
Barua iliyotolewa na klabu ya Yanga imethibitisha hilo ambapo imeonesha uongozi kukataa kujiuzulu kwake na kumuomba aendelee na kazi huku ukipongeza juhudi zilizofanya na waziri huyo wa mambo ya ndani.Katika vikao hivyo ambavyo viliripotiwa kuanza kuanzia juzi vimefanikiwa kuzaa matunda ambapo kocha huyo amekubali kurudi na kuendelea kuifundisha timu hiyo ya Jangwani kwa masharti maalum.
No comments:
Post a Comment