MSHUKIWA UGAIDI APIGWA RISASI UBALOZI WA MAREKANI NA KUUAWA - ANGA ZA KIMATAIFA

Latest

Friday, October 28, 2016

MSHUKIWA UGAIDI APIGWA RISASI UBALOZI WA MAREKANI NA KUUAWA

Mwili wa mtu aliyeuawa kwa kupigwa risasi nje ya ubalozi wa Marekani mjini Nairobi Oct. 27, 2016.
Mtu mmoja alipigwa risasi na kuuawa nje ya ubalozi wa Marekani mjini Nairobi, nchini Kenya, siku ya Alhamisi.
Vyombo vya habari nchini Kenya viliripoti kuwa mtu huyo ni wa asili ya Kisomalia na anashukiwa kuwa mwanamgambo wa Al-Shabaab.

No comments: