MAGUFULI AWATAKA WAKONGO KURUDI KWAO. - ANGA ZA KIMATAIFA

Latest

Thursday, October 6, 2016

MAGUFULI AWATAKA WAKONGO KURUDI KWAO.


Licha ya kumkaribisha rais wao rais John Pombe Magufuli amewataka wakimbizi wa kicongo waliopo nchini kurejea kwao baada ya amani kutengamaa.

Rais Magufuli aliyasema hayo wakati alipokutana na Rais Joseph Kabila amabaye yupo nchini kwa ziara
ya siku tatu.

Rais Magufuli amesema wakimbizi wa Congo warudi nchini kwao ili wajiandae kupiga kura na kuijenga nchi yao kiuchumi.

"Wakimbizikutoka Kongo waliopo Tanzania,wajipange kurudi kwao ili wakapige kura....wakajenge nchiyao kuliko kukaa hapa"alisema rais Magufuli.

No comments: