HIZI NDIZO FAINI WALIZOPIGWA SIMBA KWA VURUGU ZA MASHABIKI; KADI NYEKUNDU YA MKUDE YAFUTWA. - ANGA ZA KIMATAIFA

Latest

Thursday, October 6, 2016

HIZI NDIZO FAINI WALIZOPIGWA SIMBA KWA VURUGU ZA MASHABIKI; KADI NYEKUNDU YA MKUDE YAFUTWA.

Shirikisho  la mpira wa miguu nchini TFF limetangaza  faini iliyopigwa timu ya Simba kutokana na uharibifu uliofanywa na mashabiki wake katika pambano la watani wa jadi hapo octoba 1, pia limewapiga faini Bw.Manara na timu ya Azam FC kwa utovu wa nidhamu.

No comments: