"Kuna
minong'ono kuwa Yanga watakatwa pointi kwa kumchezesha Kessy hiyo
habari sio kweli, Simba inadai beki huyo alivunja mkataba ila hawakuweka
pingamizi kwenye usajili wake kwahiyo ni sahihi kuendelea kuwatumikia
mabingwa hao huku suala lake likiendelea kushughulikiwa."
Alfred Lucas
Afisa Habari TFF.

No comments:
Post a Comment