Mfalme wa Morocco anatarajiwa kuwasili Tanzania mnamo oktoba 23,2016 akiwa na ndege 6 pamoja na wafanyabiashara wasiopungua 1000,ambao wataanza kuingia kuanzia kesho.
Lengo la ugeni huo ni kuboresha mahusiano ya kiuchumi na kitalii ambapomikataba 11 inatarajiwa kusainiwa kati ya mfalme huyo na rais John Pombe Magufuli.
Akizungumzia ujio huo Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Mh.Paul Makonda amesema ujiohuoni heshima kubwa kwa nchi na fursa kubwa kwa wafanyabiashara wa Tanzania hivyo kuwataka kuitumia ipasavyo.
CHANZO:DAR 24.COM
No comments:
Post a Comment