UJENZI DARAJA LA SALENDER UMESHAIVA - ANGA ZA KIMATAIFA

Latest

Friday, September 23, 2016

UJENZI DARAJA LA SALENDER UMESHAIVA

Dar es Salaam,
Serikali imesema ujenzi wa daraja refu kuliko yote nchini la Selander utaanza mwakani mwezi juni.

Akizungumza na balozi wa Jamhuri ya Korea nchini, Song Geum-Young Ikulu jijini Dar es Salaam rais Magufuli amesema ujenzi huo utagharimu dola 91 milioni sawa na zaidi ya tshs 196 bolioni za kitanzania.
Rais Magufuli amesema pia kuwa fedha za ujenzi huo zimeshapatikana kwa mkopo kutoka benki ya Exim ya Korea.


No comments: