MATOKEO UEFA:SCHULKE AIZUIA MADRID KUVUNJA REKODI, LEICESTER,JUVENTUS,TOTENHAM WAPETA - ANGA ZA KIMATAIFA

Latest

Wednesday, September 28, 2016

MATOKEO UEFA:SCHULKE AIZUIA MADRID KUVUNJA REKODI, LEICESTER,JUVENTUS,TOTENHAM WAPETA


Timu ya Real Madrid jana imeshindwa kuvunja rekodi yake ya kutoshinda uwanja wa nyumbani wa Borusia Dotmund baada ya kutoka sare ya mabao 2-2 katika mchezowa ligi ya mabingwa.

Magoli ya Real Madrid yalifungwa na Ronaldo dk.ya na 17,na Varane dk.ya 68,huku mabao ya Dortmund yakifungwa dk ya 43 na Aubameyang pamoja na lile la pili liliofungwa dk.ya 87 na Schürrle 87'.

Matokeo mengine yalishuhudia mabingwa wa England wakishinda kwa goli 1-0 dhidi ya Porto, Juventus wakishinda 4-0 dhidi ya Dynamo Zagreb ya Uturuki, huku Totenham wakitoka kifua mbele kwa goli 1-0 dhidi ya CSKA MOSKVA iliyokuwa nyumbani.

No comments: