Manchester City wamepata ushindi wa 10 mfululizo baada ya kuifunga Swansea goli 3-1.
Sergio Aguero ndiye aliyefungua kalamu ya magoli kwa Man city dk.9 kisha Fernando Llorente kuisawazishia Swansea dk.13 kabla ya Aguero kuiongezea timu yake goli la 2 dk ya 65, na Rahm Sterling kuongeza goli la 3 dk.77.
Guardiola anakuwa kocha wa pili kudhinda mechi 6 mfululizo katika ligi akiifikia rekodi ya Carlo Anceloti aliyeiongoza Chelsea kea rekodi kama hiyo msimu wa 2009/2010.
No comments:
Post a Comment