GAME ZA UEFA LEO USIKU; ATLETICO MADRID VS BAYERN MUNCHEN, BARCELONA UGENINI, ARSENAL NYUMBANI. - ANGA ZA KIMATAIFA

Latest

Wednesday, September 28, 2016

GAME ZA UEFA LEO USIKU; ATLETICO MADRID VS BAYERN MUNCHEN, BARCELONA UGENINI, ARSENAL NYUMBANI.

Ligi ya mabingwa ulaya inaendelea leo usiku kwa vigogo wa soka barani humo kushuka uwanjani,
huko hispania Athletico Madrid watakuwa na kibarua pevu dhidi ya wageni wao Bayern Munchen, Barcelona watakuwa ugenini dhidi ya Borusia VFL, huku Arsenal wakiwa nyumbani kuwakaribisha FC Barsel.

Michezo mingine ni kama ifuatavyo;


No comments: