Timu ya taifa ya Tanzania chini ya miaka 17 Serengeti Boys, imefanikiwa kuvuka hatua ya mtoano kufuzu mashindano ya mataifaya Afrika baada ya kuishinda Afrika Kusini kwa magoli 2-0.
Katika mchezo wa awali timu hizo zilitoka sare.
Mabao ya Seregeti Boys yalifungwa na Mohamed Abdallah dk.34 na la pili lilifungwa na Muhsin Makame.
No comments:
Post a Comment