SAMMATTA APIGA MBILI KUIPATIA GENK USHINDI UGENINI - ANGA ZA KIMATAIFA

Latest

Monday, August 22, 2016

SAMMATTA APIGA MBILI KUIPATIA GENK USHINDI UGENINI

Lokeren vs GenkMchezaji wa Kimataifa wa Tanzania Mbwana Samatta jana usiku ameiongoza timu yake kupata ushindi wa ugenini dhidi ya Lokeren kwa kufunga mabao 2 kati ya matatu walipoibuka na ushindi wa 3-0
Team P M
1. Zulte-Waregem 10 4
2. Anderlecht 8 4
3. AA Gent 8 4
4. Charleroi 8 4
5. KRC Genk 7 4
6. KV Oostende 7 4
7. Club Brugge 6 4
8. Standard 5 4

No comments: