OMBI LA KUNG'OLEWA TRUMP LAFIKISHWA BUNGENI - ANGA ZA KIMATAIFA

Latest

Thursday, May 18, 2017

OMBI LA KUNG'OLEWA TRUMP LAFIKISHWA BUNGENI

 

Mbunge wa bunge la Marekani Al Green amewasilisha ombi la kutaka rais wa nchi hiyo Donald Trump aondolewe madarakani baada ya kudaiwa kumtaka aliyekuwa mkuu wa FBI James Corney kuachana na uchunguzi dhidi ya aliyekuwa mshauri wake wa mambo ya ndani

Michael Flynn’s kuhusu ukaribu wake na Urussi.kutokana na kukiuka katiba ya nchi hiyo.

Akiongea katika bunge la Congress mbunge huyo amesema Marekani inaongozwa na sheria na hakuna aliye juu ya sheria ikiwemo rais.

 

Angalia video ya habari hiyo hapa chni:

No comments: