HAYA NDIYO MAAMUZI YA RAIS KWA VIONGOZI WALIOOMBA KUACHA KAZI, MECK SADICK YUPO. - ANGA ZA KIMATAIFA

Latest

Tuesday, May 16, 2017

HAYA NDIYO MAAMUZI YA RAIS KWA VIONGOZI WALIOOMBA KUACHA KAZI, MECK SADICK YUPO.



Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu Dar es salaam imeeleza kuwa Rais Magufuli ameridhia maombi ya kuacha kazi kwa Said Meck Sadick aliyekuwa RC Kilimanjaro, Aloysius Kabulizi na Upendo Hillary Msuya waliokuwa Majaji wa Mahakama Kuu.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo May 16, 2017 na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi imesema Rais Magufuli ameridhia maombi hayo kuanzia May 15, 2017.

No comments: