AFCON UNDER 17: SERENGETI BOYS YAJITUTUMUA, YAIBANIA MALI - ANGA ZA KIMATAIFA

Latest

Monday, May 15, 2017

AFCON UNDER 17: SERENGETI BOYS YAJITUTUMUA, YAIBANIA MALI


Timu Ya Taifa ya Tanzania chini ya miaka 17 Serengeti Boys leo imeshuka dimbani kucheza mchezo wake wa kwanza katika michuaano ya Afrika chini ya miaka 17 kwa kuwavaa mabingwa watetezi timu ya Mali.

Katika mchezo huoa ambao Mali wametawala vipindi vyote viwili Serengeti Boys wamesimama imara na kulinda ngome yao hivyo kulazimisha sare ya magoli 0-0.

Licha ya kuonekana kutofanya vizuri katika safu ya kioungo na ushambuliajiSerengeti boys walisimama imara katika ulinzi na kuhakikisha wanaondoa kila shambulizi lililoelekezwa golini kwao.

No comments: