picha na Hassan Jembe blog |
Simba wamepoteza mchezo wa pili ligi kuu bara leo baada ya kukubali kipigo ch goli 2-1 dhidi ya Prisons ya Mbeya.
Simba ndiyo waliotangulia kufunga dk. ya 43 kupitia kwa Jamal Mnyate.
Prisons walipamba moto na kusawazisha kupitia kwa Victor Hangaya dk.47,ambaye aliongeza pia goli la ushindi dk.ya 63.
Katika mchezo mwingine timu ya Azam iliyokuwa inasusua imefufuka na kupata ushindi mnono wa goli 4-1
No comments:
Post a Comment