Raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt.John Pombe Magufuli ametoa pongezi zake za dhati kwa mteule raisi wa Marekani,Donald Trump kwa ushindi alioupata.
Pia ameweza kutoa pongezi kwa wamarekani wote kwa pamoja kwa kuweza kuendesha uchaguzi wao kidemokrasia.Katoa ahadi ya kuendeleza urafiki na taifa hilo kupitia ujumbe alioandika katika akaunti yake ya twitter.
No comments:
Post a Comment