RAIS MTEULE WA MAREKANI |
Hatimaye uchaguzi wa marekani umefikia tamati na mgombea kupitia chama cha Republican hon: Donald Trump kuibuka raisi wa nchi hiyo kwa kujizolea kura za wajumbe 276 dhidi ya mpinzani wake Clintoni aliyejizolea kura za wajumbe 218.
Kwa matokeo hayo DonaldTrump aliyezaliwa June 14, 1946 aandika historia nyingine ya kua raisi wa 45 wa Marekani atakapo kabidhiwa ofisi mnamo tarehe.20/01/2017
No comments:
Post a Comment