MESSI AGOMA KUONGEZA MKATABA MPYA BARCELONA - ANGA ZA KIMATAIFA

Latest

Wednesday, November 16, 2016

MESSI AGOMA KUONGEZA MKATABA MPYA BARCELONA




Lionel Messi ameripotiwa kukataa kuongeza mkataba wake na klabu ya Barcelona unaoisha mwaka 2018.

Gazeti la Marca la Hispania limeripoti kuwa Messi amekataa ofa ya mkataba mpya baada ya mkataba wake wa 2018 kuisha ambapo anaonekana kufanya maamuzi mapya nbaada ya mkataba huo kuisha.

No comments: