TFF HAITAMBUI RASMI KUKODISHWA KWA YANGA. - ANGA ZA KIMATAIFA

Latest

Wednesday, October 12, 2016

TFF HAITAMBUI RASMI KUKODISHWA KWA YANGA.

Siku tano zimepita baada ya klabu ya Dar es Salaam Young Africans itangaze kuingia mkataba wa kuikodisha timu yao kwa kipindi cha miaka 10 kwa kampuni ya YANGA YETU, mkataba wa Yanga kukodishwa katika kipindi cha miaka 10 ulitangazwa October 6 2016 hiyo ni baada ya kusainiwa kimya kimya Septemba 3 2016.
“Katika mkutano wa dharura Yanga wakaja na suala tofauti ambalo wengine wakihisi ni utani suala la kukodishwa, mabadiliko yanaruhusiwa ila ufuate utaratibu ila hadi sasa klabu ya Yanga ipo katika mfumo wake wa awali, mabadiliko mengine hadi tutakapoyapokea” >>> Mwesigwa


CHANZO: MILARDAYO
TEMBELEA:MILARD AYO.COM

No comments: