KIWANDA KIPYA KUJENGWA KANDA YA ZIWA. - ANGA ZA KIMATAIFA

Latest

Wednesday, October 12, 2016

KIWANDA KIPYA KUJENGWA KANDA YA ZIWA.


Kampuni ya Bakhresa foods ina mpango wa kujenga kiwanda cha kusindika
matunda katika eneo la kanda ya ziwa ili kuwasaidia wakulima wa matunda
wa mikoa hiyo kupata soko.

No comments: