Timu ya wekundu wa msumbazi leo imeendeleza ubabe ligi kuu baada ya kuitandika Toto African ya Mwanza kwa magoli 3-0, magoli ya Simba yamefungwa na Mzamiru dk.43 aliyeunganisha krosi ya Blagnon,huku la pili likifungwa dakika ya 52 na Mohamed Ibrahim aliyetokea benchi na la tatu likafungwa tena na Mzamiru dk.74 akimalizia mpira wa kona uliopigwa na kichuya.
Sunday, October 23, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment