Timu ya Prisons ya Mbeya leo imelazimika kusawazisha goli dakika za mwisho ili kuepuka balaa la kupoteza mchezo wake dhidi ya Mbao Fc.
Mbao ndio waliotangulia kuandika bao mnamo dk. ya 84 kupitia Boniface Maganga,
ambapo Prisons walilazimika kutumia nguvu za ziada na kufanikiwa kusawazisha dk. ya90 kupitia penati iliyopigwa na Lambert Sibianka.

No comments:
Post a Comment