MDAHALO WA URAIS: HAYA NDIYO MATOKEO YA KURA BAADA YA MDAHALO WA JANA. - ANGA ZA KIMATAIFA

Latest

Thursday, October 20, 2016

MDAHALO WA URAIS: HAYA NDIYO MATOKEO YA KURA BAADA YA MDAHALO WA JANA.



Mdahalo wa mwisho wa ugombea urais Marekani umefanyika jana ambapo Mgombe wa Democrats Hilary Clinton na Mgombea wa Republican Donald Trump walipambana vikali.

Haya ndiyo matokeo ya kura za maoni baada ya mdahalo:





Ufunguo:


Arizona (11) imebadilika kutoka ngome ya Republican kwenda  jimbo linalogombewa na wote.
-- Utah (6) imebadilika kutoka ngome ya Republican kwenda  jimbo linalogombewa na wote.
    -- Florida (29) imetoka kwenye jimbo linalogombewa kuwa ngome ya Democrat.
    -- Nevada (6) imetoka kwenye jimbo linalogombewa kuwa ngome ya Democrat.


    Ngome za Democrats:

    Florida (29), Colorado (9), Michigan (16), Nevada (6),New Hampshire (4), Pennsylvania (20), Virginia (13), Wisconsin (10), (107 total)

    Ngome za  Republican:

    Georgia (16), Iowa (6), (22 total)


    No comments: