MATOKEO TUZO ZA AFRIMMA: HAWA NDIYO WATANZANIA WALIOSHINDA - ANGA ZA KIMATAIFA

Latest

Sunday, October 16, 2016

MATOKEO TUZO ZA AFRIMMA: HAWA NDIYO WATANZANIA WALIOSHINDA

Tuzo za AFRIMMA ambazo hutolewa kila mwaka kwa Waafrika mbalimbali waliofanya vizuri kwenye sekta mbalimbali hasa za burudani, zimetolewa Dallas Texas Marekanileo ambapo kwenye list yote Watanzania walioshinda ni watatu.

Watanzania walioshinda ni Dj D Ommy waCloudsFM kupitia show mbalimbali ikiwemoXXL na AMPLIFAYA ambapo ameshinda tuzo ya Dj bora Afrika, mwimbaji Harmonizeakishinda tuzo ya msanii bora chipukizi Afrika 2016 huku Diamond Platnumz akishinda yamsanii bora wa kiume Afrika Mashariki.

millardayo.com Wengine waliochukua tuzo ni Wakenya kundi la Sautisol walioshinda kundi bora la muziki Afrika ikiwa ni tuzo iliyokua ikiwaniwa na Radio na Weasel wa Uganda, Os Moikanos wa Angola, Bracket wa Nigeria, Mi Casa South Africa, R2bees wa Ghana, Bana C4wa Congo DRC na Yamoto Band wa Tanzania.

Harmonize na Tekno wa Nigeria

Mkenya Akothee ameshinda msanii bora wa kike Afrika Mashariki, tuzo iliyokua inawaniwa na Victoria Kimani wa Kenya, Vanessa Mdeena Linah wa Tanzania, Aster Aweke naTsedenia wa Ethiopia, Knowles wa Rwanda naSheebah Karungi wa Uganda. 

Mkenya mwingine ni staa wa gospel KenyaWilly Paul ambaye ameshinda tuzo ya Best Gospel Act iliyokua ikiwaniwa na Frank, Uche, Sinach wa Nigeria, SP Koffi na Sonnie wa Ghana, Icha wa Congo na Ntokozo wa South Africa. 

 ***** millardayo.com ******

FULL LIST WINNERS AFRIMMA 2016:

Best Male West Africa – Olamide (Nigeria)

Best Female West Africa – Efya

Best Male North Africa – Amr Diab

Best Female North Africa – Ibtissam

Best African DJ USA – Dj Dee Money

***** millardayo.com *****

Best Male Central Africa – C4 Pedro

AFRIMMA Video of the year – Brother brother Bisa Kdei

Best Female Central Africa – Daphne

Music Producer of the year – Masterkraft

Best male South Africa – AKA

Sautisol, Akothee na brothers wengine Dallas Texas

***** millardayo.com *****

Best African Dancer – Mshindi Brenda Derry ( Cameroon) tuzo hii iliwaniwa pia na Mtanzania Dancer wa Diamond Platnumz aitwae Mose Iyobo.

Best Female Southern Africa – Chikune

Best Rap Act – Phyno (Nigeria)

Best African Group – Sauti Sol (Kenya)

****** millardayo.com *****

Best collaboration – Reggae blues ( Harrysong, Kcee) Nigeria

Crossing boundaries with Music – Wizkid (Nigeria)

Song of the year – Tecno Duro (Nigeria)

Best Gospel Act – Willy Paul (Kenya)

Best Male East Africa – Diamond Platnumz ( Tanzania)

 ***** millardayo.com *****

Artist of the year – Flavour ( Nigeria)

Best Newcomer – Harmonize (Tanzania)

Best Dancehall Act – Shatta Wale

Best Video Director – Patrick Elis

Carribean Artist of the year – Machel Montano.

  

No comments: