Mkutano huo ulimalizika Septemba 26, 2016 lakini Mutharika hajaonekana kurudi nyumbani.
Wamalawi wameingia katika vyombo vya kijamii kumdai rais wao wakihashtag, kwa kutumia alama #bringbackmutharika.
Mutharika aliondoka kwenda Marekani Septemba 15, 2016 kuhudhuria Mkutano wa mwaka wa Umoja wa Mataifa wa wakuu wa nchi, hata hivyo ukimya mkubwa bila taarifa rasmi kutoka serikalini umewatiahofu wamalawi wengi.
BAADHI YA HASHTAG:



No comments:
Post a Comment