Liverpool wamepata ushindi wa tatu mfululizo baada ya kuichapa Hull city bao 5-1.
Magoli ya Liverpool yamefungwa na Lallana dk 17,Milner dk.30, 71, Mane dk36, na Coutinho dk ya 52 huku goli pekee kwa Hull city limefungwa na Mayler dk.51.
Katika mchezo huo Hull city walilazimika kumaliza pungufu baada ya mchezaji wao Elmohamady kutolewa kwa kadi nyekundu baada ya kushika mpira kwa makusudi eneo la hatari dk. ya 29.
No comments:
Post a Comment