Wagombea urais wa Marekani Bi.Hiraly Clinton (Democrats)
na Donald Trump(Republican) wanapambana usiku huu katika mdahalo tutakaokuletea moja kwa moja hapa kuanzia saa 9 usiku huu.

Maandalizi ya mdahalo wa wagombea
urais wa Marekani Donald Trump na Hillary Clinton yamekamilika huku
kura za maoni zikionyesha wagombea hao wanachuana vikali.
Wagombea hao wa Republican na
Democratic watachuana katika mdahalo huu hii leo kwa dakika 90, bila
kukatizwa na matangazo ya aina yoyote.
Mdahalo huo unafanyika kwenye Chuo
Kikuu cha Hofstra huko Hempstead, Jijini New York, ukiongozwa na
mtangazaji wa NBC News, Lester Holt.
Muonekano wa eneo la mdahalo huo huku waandaji wakifanya mazoezi ya mwisho mwisho

No comments:
Post a Comment