Timu ya Real Madrid jana imeanza msimu wa La Ligakwa kupata ushindi wa magoli 3-0 dhidi ya Real Sociedad ugenin
.
Gareth Bale ambaye alifunga bao la kwanza dakika ya 2 naye Marco Asensio akafunga bao la pili na Bale tena akakamilisha kalamu ya ushindi kwa bao la tatu dakika ya 90
na kuipa Madrid pointi tatu muhimu katika mchezo huo, huku nyota wa Ronaldo akiwa hayupo.
Monday, August 22, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment