MAREKANI YAACHIA IDADI KUBWA YA WAFUNGWA GUANTANAMO - ANGA ZA KIMATAIFA

Latest

Tuesday, August 16, 2016

MAREKANI YAACHIA IDADI KUBWA YA WAFUNGWA GUANTANAMO


Guantanamo,CUBA,
Serikali ya Marekani imeripiti kuwahamisha wafungwa 15 kwenda Falme za kiarabu kwa wakati mmoja ikiwa ni idadi kubwa kupata kutokea katika historia ya gereza la Guantanamo Bay.
Taarifa zinasema kati ya wafungwa hao 13 ni raia wa Yemen na watatu ni Waafghanistan.

Baada ya uhamisho huo ereza la Giantanamo Bay litabaki na wafungwa 61, hii ikiwa ni muendelezo wa mpango wa rais Barack Obama ambaye anataka kulifunga gereza hilo kabla hajaondoka madarakani.

Chanzo:BBC.COM

No comments: