Timu ya Yanga leo imeendeleza ubabe katika ligi kuu baada ya kuinyosha Ruvu JKT kwa magoli 4-0. Magoli ya Yanga ambayo iliutawala mchezo wa leo yamefungwa na Chirwa dk.6,Tambwe 61, Msuva dk.83, Tambwe dk.89. GOLI LA KWANZA LA YANGA: Read more
No comments:
Post a Comment